Sunday, 27 September 2015
Saturday, 26 September 2015
UTENGEZAJI WA JUIS MBALIMBALI
JUISI YA UKWAJU
Mahitaji:
-Maji ya moto lita moja
-Ukwaju wa kutosha
-Jagi au birika lenye uwezo wa kutosha maji lita moja au zaidi
Jinsi ya kutengeneza:
Weka maji yako ya moto kwenye jagi au birika lako kisha weka ukwaju ndani yake (ukwaju uliotolewa maganda). Acha ukwaju ndani ya maji ya moto kwa muda hadi maji yatakapopoa kabisa. Baada ya hapo koroga mchanganyiko huo hadi uhakikishe kuwa juisi imekuwa nzito.
Kisha mimina juisi yako kwenye jagi lingine kuchuja mabaki ya ukwaju (usichuje juisi kwa chujio la chai). Baada ya hapo juisi yako itakuwa tayari kutumika. Lakini usiweke sukari wala kitu kingine chochote kwenye juisi hiyo. Sasa unaweza kuanza kunywa juisi yako. Sio lazima uimalize yote kwa mkupuo, lakini hakikisha kuwa unaimaliza ndani ya dakika kama kumi hadi kumi na tano.
Baada ya kuimaliza juisi hiyo na kukaa kwa muda wa kama nusu saa au zaidi utaanza kuona mabadiliko kwenye tumbo lako. Tumbo litavurugika na utaanza kuharisha mara kwa mara. Hilo sikuogopeshe wala kukupa wasiwasi, kwani hapo ndio dawa inafanya kazi ya kusafisha. Lakini ukiona kuwa baada ya kunywa juisi hiyo na muda unazidi kwenda, nusu saa, mara saa moja na kuendelea lakini tumbo halivurugiki na hupati hamu ya kwenda chooni ujue dawa haijakolea. Utakachotakiwa ni kutengeneza juisi nyingine siku nyingine lakini mara hii weka maji zaidi ya lita moja na ukwaju mwingi zaidi.
Matokeo ya dawa hii huanza kuonekana baada ya wiki mbili na kuendelea.
Jitahidi kama utaweza jiwekee utaratibu wa kunywa juisi ya aina hii angalau mara moja kila mwezi kwani haina gharama na haina madhara mwilini.
Kumbuka pia yafutayo ni muhimu;
-Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara
-Kunywa maji mengi
-Kula mlo wenye mpangilio mzuri
JUISI YA TENDE
Mahitaji
Maziwa - Tende - Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho
Namna ya kutengeza.
Toa tende makokwa
Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
Weka kwa friji ipate baridi kidogo
Then enjoy juice ya tende......
JUISI MJANGANYIKO
FAIDA YA JUICE YA MATUNDA MCHANGANYIKO KAMA TIBA YA MWILI WA BINADAMU.
Katika ulimwengu wa vyakula,inafahamika na kuaminika kuwa chakula ni dawa. Chakula unachokula leo ndicho kinachoamua hali yako ya kiafya kesho. Unaweza kuishi bila kuugua kama ukila vyakula vyote muhimu vinavyohitajika mwilini.
Leo nitakutajia orodha ya juice zilizotengenezwa kwa matunda na mboga na faida zake mwilini. Katika orodha hii, utaona kuna mchanganyiko wa matunda au mboga mbili hadi nne na kazi zake mwilini, zikitumika kama tiba au kinga ya magojwa.
KAROTI,TANGAWIZI NA TUFAHA
Juisi yenye mchanganyiko wa matunda hayo matatu huondoa sumu mwilini na kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili.Tufaa ndiyo apple kwa kiingereza.
TUFAA,TANGO NA FIGILI
Juice ye ye mchanganyiko wa matunda haya ni kinga dhidi ya saratani,huondoa lehemu (cholestrol) mwilini,husafisha tumbo na pia huondoa maumivu ya kichwa.
NYANYA,KAROTI NA TUFAHA
Juice yenye mchanganyiko wa matunda haya hufanya ngozi ya mwili kuwa nyororo na huondoa harufu mbaya mdomoni.
TUFAA NA TANGO
Juice yenye mchanganyiko wa matunda haya huondoa harufu mbaya mdomoni na hupunguza joto la mwili.
CHUNGWA,TANGAWIZI NA TANGO
Juice yenye mchanganyiko wa matunda haya hung'arisha rangi ya ngozi na kuifanya kuwa laini,pia hupunguza joto la mwili.Kwa wale wenye matatizo ya kuwa na ngozi kavu, juice hii itawasaidia sana.
NANASI,TUFAHA NA TIKITIMAJI
Juice yenye mchanganyiko wa matunda haya hufanya kazi ya kuondoa chumvi nyingi mwilini,husafisha kibofu cha mkojo na figo. juice hii ni nzuri kwa wale wenye matatizo ya kibofu au au wanaotaka kujikinga na magojwa hayo.
TUFAA,TANGO NA 'KIWI'
Juice yenye mchanganyiko wa matunda haya hung'arisha rangi ya ngozi. Kiwi ni aina ya matunda ambayo hujulikana pia kama 'matunda damu'.
PEASI NA NDIZI
Juice yenye mchanganyiko wa matunda haya hurekebisha kiwango cha sukari katika damu.Inawafaa sana wagojwa wa kisukari na inaweza kuwa sawa na kinga dhidi ya ugojwa huo.
KAROTI,PEASI TUFAHA NA EMBE
Juice yenye mchanganyiko wa matunda haya huzuia athari ya sumu mwilini, hupunguza shinikizo la damu na kuondoa mlundikano wa uchafu mwilini.
MASEGA YA ASALI,ZABIBU,TIKITIMAJI NA MAZIWA
Juice yenye mchanganyiko huu huwa na kiasi kikubwa cha Vitamin C na Vitamin B2 ambazo huimarisha chembechembe hai na kinga ya mwili.
PAPAI,NANASI NA MAZIWA
Juice hii inakiwango kikubwa cha Vitamin C,E na madini ya chuma. Huimarisha rangi ya ngozi na mfumo wa usagaji chakula tumboni.
NDIZI,NANASI NA MAZIWA
Juice hii yenye kiasi kikubwa cha Vitamin na virutubisho mbalimbali vyenye faida mwilini,huzuia tatizo la ukosefu wa choo.
ILI KUPATA FAIDA ZILIZOAINISHWA KATIKAKUNDI LA MATUNDA HAYO,USAFI WA MATUNDAYENYEWE HAUNA BUDI KUZINGATIWA EAKATI WA KUTAYARISHA JUICE YAKE. VILEVILE HAKIKISHA UNATUMIA MATUNDA YALIYOIVA VIZURI NA UYATAYARISHE VIZURI KWA KUZINGATIA KANUNI ZA USAFI 'MTU NI AFYA'
UNAWEZA KUTUMIA MASHINE MAALUM YA KUKAMULIA MATUNDA (BLENDER) AU KUTUMIA NJIA YA ASILI YA KUTWANGA KWA KINU MAALUMU NA KUPATA JUICE HIYO. KAMA UTAONGEZA SUKARI INASHAURIWA KUWEKA KIASI KIDOGO SANA. NI BORA ZAIDI USIPOWEKA SUKARI,KWA SABABU MATUNDA MENGI YANA SUKARI YA ASILI.
Tuesday, 22 September 2015
JUA FAIDA ZA MATUNDA MBALI MBALI

FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.
- Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
- Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
- Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
- Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
- Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
- Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
- Husaidia kurahisisha choo (laxative)
- Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
- Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
- Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)
MAPARACHICHI PEA (AVOCADO)
Ndani ya tunda hili kuna maji kiasi kidogo sana
ukilinganisha na matunda mengine lakini kuna mafuta mengi na unaweza
kuchanganya kula na tunda lingine kama vile apple, ndizi, chungwa au
hata maziwa kwa kutengeneza juisi.
TINDIKALI
Licha ya kuwa na mafuta parachichi lina tindikali (acid) mbalimbali
ikiwemo inayojulikana kama amino ambayo husaidia sana kukinga na kutibu
maradhi katika mwili wa binadamu. Tunda hili pia lina protini ya
kiwango cha juu.
Pia kuna tindikali inayoitwa oleic acid kwenye parachichi ambayo husaidia kukinga magonjwa ya moyo, kiharusi na kansa.
VITAMINI “E” NA B6
Imeelezwa na wataalamu kuwa tunda hili lina kiwango kikubwa cha vitamini
E kuliko ile inayopatikana kutoka kwenye mazao ya wanyama.Parachichi
lina vitamini hiyo nyingi kuliko inayopatikana katika mayai ambayo
yanasifika kwa kuwa na vitamini e, hivyo hii inathibitisha kuwa lina
faida kubwa mwilini.
Licha ya vitamini E pia ndani ya parachichi kuna vitamini B6 na kuna
madini ya chuma (Iron) kwa wingi na madini ya potassium, pamoja na
vitamin B6 na E mlaji anaweza kuletawa nafuu sana kama alikuwa na
matatizo ya stress, matatizo ya uzazi kama ugumba na jogoo kutopanda
mtungi Nguvu za kiume pia tunda hili linasaidia (impotence) .
FAIDA ZA PARACHICHI
Licha ya binadamu kufaidika na virutubisho vya tunda hili kuna faida
nyingi za parachichi kama vile majani ya mti wake pamoja na magamba,
baadhi ya watu hutumia kutibu maradhi ya kuharisha.
Majani na magamba hayo hutibu pia tatizo la gesi tumboni, kutuliza
kikohozi pamoja na matatizo ya ini na kusafisha njia ya mkojo.
Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu wa dawa za mitishamba, dawa hii
haifai kutumiwa na wanawake ambao wana mimba kwani wakitumia inaweza
kusababisha kuharibika kwa ujauzito.
HEDHI
Hata hivyo, wataalamu wa tiba mbadala wanasema dawa hiyo inaweza
kuwasaidia sana wanawake ambao wameshindwa kuona siku zao kwa wakati, na
wakitumia vyema wanaweza kuanza kuona siku zao.
Aidha, tunda hili linasaidia uyeyushaji wa chakula tumboni hasa kwa wale
wenye matatizo ya vidonda vya tumbo, kwani parachichi lina nyuzinyuzi
“fiber” ambayo ni muhimu kukinga kuta za utumbo. Watu wenye maradhi ya
anaemia, diabetes, matatizo ya mfumo wa neva, matatizo ya mishipa ya
moyo hasa wa artery wanashauriwa kula tunda hili mara nyingi.
Lakini pia tunda hili limethibitishwa na wataalamu kuwa linapunguza kwa
kiwango kikubwa cholesterol kutoka kwenye damu hasa kwa watu wanene.
Tunda hili husaidia kulainisha ngozi na kuondoa mikunjo, hung`arisha na
kulainisha nywele na kuzisaidia kukua pia kuziimarisha na kuzuia
kukatikakatika.
Parachichi unaweza kulila kwa kulimenya au kwa kulisaga na kutengeneza
juisi na kama nilivyoeleza hapo juu unaweza kuchanganya na matunda
mengine kama tulivyoyataja na hutaharibu virutubisho vilivyomo badala
yake utaongeza ubora wa juisi yako.
Watoto wadogo pia unaweza kuwapa tunda hili na wakafaidika na haya tuliyoyaandika.
Parachichi pia huweza kutumika kama siagi kwa kupaka kwenye mkate au kuchanganya na wali.
Haya wale wanaopenda ngozi zao za mwilini zisijikunje hata wakiwa watu
wazima wadumu kula tunda hili kila siku katika maisha yao basi ngozi za
mwili wao hazitajikunja hata usoni watakuwa kila siku vijana hata
wakiwa wazee.
PAPAI
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake.
Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.
UTAJIRI WA VITAMINITunda la papai lina vitamini A,B,C,D, na E jambo linalo liweka tunda hili katika kundi la matunda na vyakula vyenye utajiri mkubwa wa vitamin.
Mti wa papai
FAIDA ZA KIAFYA ZA TUNDA LA PAPAI
Tunda la papai lina faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kuwa na uwezo wa :
Mbegu za Papai
1. Kutibu tatizo la Shida ya kusaga chakula tumboni
2. Kutibu Udhaifu wa tumbo
3. Kutibu Kisukari na asthma au pumu.
4. Kutibu Kikohozi kitokacho mapafuni
Mizizi Ya Papai
5. Kutibu Kifua kikuu
6. Tunda hili huleta afya nzuri ukitumia kila siku
7. Maziwa yanayotoka katika jani lake huponya vidonda
8. Vilevile yanasaidia kutibu sehemu palipoungua moto
9. Kama hiyo haitoshi, maziwa yanayotoka katika jani la mpapai yanatibu kiungulia na Ugonjwa wa colon (njia ya haja kubwa ndani)
Majani Ya Mpapai
10. Pia yanasaidia kutofunga choo
11. Maganda ya tunda la papai yanasaidia kutibu tatizo la kuungua, vipele na saratani ya ngozi.
12. Mbegu zake zinatibu ini zikitafunwa 10 – 12 kwa siku 5.
13. Majani yake yakaushie ndani, yanatibu pumu. Inapoanza kubana yachome majani yaliyokaushwa kisha jifukize, kule kubanwa kutakisha.
14. Majani yake yanasaidia katika kutibu shinikizo la damu.
15. Papai likimenywa na kupondwa linafaa Sana katika masuala ya urembo kwani linaweza kutumika Kama vile unavyotumia lotion kulainisha uso.
16. Mbegu za papai zina uwezo wa kutibu homa. Meza mbegu za papai kiasi cha kijiko cha chakula mara 3 kwa ajili ya kutibu homa.
17. Mbegu za papai zilizokaushwa ndani kisha zikasagwa kuwa unga zinatibu malaria, tumia kijiko 1 cha chai changanya na uji, kunywa mara 3 kwa siku 5 Mgonjwa wa kifua kikuu akila matunda haya kwa muda mrefu atapona bila dawa nyingine.
18. Mizizi yake ikipondwa na kulowekwa katika maji yaliyochemshwa, lita 2 na nusu kwa dakika 15, yanatibu figo, bladder, yanazuia kutapika. Nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku 5.
FAIDA ZA NANASI
UTAJIRI WA VITAMINI NA MADINI :
Nanasi ina vitamini
A,B na C na pia ina madini ya chuma, calcium, copper na phosphorous ambayo yote
ni muhimu sana
katika afya ya
mwanadamu.
ii.
Tunda hili husaidia kutengeneza damu
iii.
Nanasi husaidia
kuimarisha mifupa , meno, neva na misuli (muscles).
iv.
Tunda
la nanasi hutibu matatizo ya tumbo.
v.
Hutibu matatizo
ya Bandama
vi.
Hutibu matatizo
ya Ini
vii.
Husaidia kusafisha
Utumbo mwembamba
viii.
Husaidia kutibu Homa
ix.
Husaidia kutibu Vidonda mdomoni
x.
Husaidia kutibu
Magonjwa ya koo
xi.
Husaidia kutibu
tatizo la Kupoteza kumbukumbu
xii.
Husaidia kutibu
maradhi ya akili Kukosa mori (low spirit)
xiii.
Husaidia kutibu
Kikohozi
xiv.
Husaidia kutibu
tatizo la Kutetemeka
xv.
Husaidia kutibu
tatizo la Woga ( Anxiety )
xvi.
Husaidia kutibu matatizo ya wanawake (upungufu wa hormones au
makosa fulani katika sehemu za siri )
xvii. Huondoa shida ya kufunga choo
xviii.
Hutibu tatizo
la baridi yabisi
xix.
Husaidia katika
kutibu tatizo la
Upungufu wa damu
xx.
Pia
tunda hili huwasaidia
akina mama wanaonyonyesha (wenye maziwa machache)
Monday, 21 September 2015
Sunday, 20 September 2015
MAPAMBO YA MAKARATASI
Saturday, 19 September 2015
RATIBA BARANI ULAYA
Jumamosi, Septemba 26, 2015
Leicester City v Arsenal
Liverpool v Aston Villa
Man United v Sunderland
Newcastle v Chelsea
Southampton v Swansea City
Stoke City v AFC Bournemouth
Tottenham v Man City
Watford v Crystal Palace
West Brom v Everton
West Ham v Norwich City
Jumamosi, Oktoba 3, 2015
AFC Bournemouth v Watford
Arsenal v Man United
Aston Villa v Stoke City
Chelsea v Southampton
Crystal Palace v West Brom
Everton v Liverpool
Man City v Newcastle
Norwich City v Leicester City
Sunderland v West Ham
Swansea City v Tottenham
Jumamosi, Oktoba 17, 2015
Chelsea v Aston Villa
Crystal Palace v West Ham
Everton v Man United
Man City v AFC Bournemouth
Newcastle v Norwich City
Southampton v Leicester City
Swansea City v Stoke City
Tottenham v Liverpool
Watford v Arsenal
West Brom v Sunderland
Jumamosi, Oktoba 24, 2015
AFC Bournemouth v Tottenham
Arsenal v Everton
Aston Villa v Swansea City
Leicester City v Crystal Palace
Liverpool v Southampton
Man United v Man City
Norwich City v West Brom
Stoke City v Watford
Sunderland v Newcastle
West Ham v Chelsea
Jumamosi, Oktoba 31, 2015
Chelsea v Liverpool
Crystal Palace v Man United
Everton v Sunderland
Man City v Norwich City
Newcastle v Stoke City
Southampton v AFC Bournemouth
Swansea City v Arsenal
Tottenham v Aston Villa
Watford v West Ham
West Brom v Leicester City
Jumamosi, Novemba 7, 2015
AFC Bournemouth v Newcastle
Arsenal v Tottenham
Aston Villa v Man City
Leicester City v Watford
Liverpool v Crystal Palace
Man United v West Brom
Norwich City v Swansea City
Stoke City v Chelsea
Sunderland v Southampton
West Ham v Everton
Saturday, November 21st, 2015
Chelsea v Norwich City
Crystal Palace v Sunderland
Everton v Aston Villa
Man City v Liverpool
Newcastle v Leicester City
Southampton v Stoke City
Swansea City v AFC Bournemouth
Tottenham v West Ham
Watford v Man United
West Brom v Arsenal
Jumamosi, Novemba 28, 2015
AFC Bournemouth v Everton
Aston Villa v Watford
Crystal Palace v Newcastle
Leicester City v Man United
Liverpool v Swansea City
Man City v Southampton
Norwich City v Arsenal
Sunderland v Stoke City
Tottenham v Chelsea
West Ham v West Brom
Jumamosi, Desemba 5, 2015
Arsenal v Sunderland
Chelsea v AFC Bournemouth
Everton v Crystal Palace
Man United v West Ham
Newcastle v Liverpool
Southampton v Aston Villa
Stoke City v Man City
Swansea City v Leicester City
Watford v Norwich City
West Brom v Tottenham
Jumamosi, Desemba 12, 2015
AFC Bournemouth v Man United
Aston Villa v Arsenal
Crystal Palace v Southampton
Leicester City v Chelsea
Liverpool v West Brom
Man City v Swansea City
Norwich City v Everton
Sunderland v Watford
Tottenham v Newcastle
West Ham v Stoke City
Januari, Desemba 19, 2015
Arsenal v Man City
Chelsea v Sunderland
Everton v Leicester City
Man United v Norwich City
Newcastle v Aston Villa
Southampton v Tottenham
Stoke City v Crystal Palace
Swansea City v West Ham
Watford v Liverpool
West Brom v AFC Bournemouth
Jumamosi, Desemba 26, 2015
AFC Bournemouth v Crystal Palace
Aston Villa v West Ham
Chelsea v Watford
Liverpool v Leicester City
Man City v Sunderland
Newcastle v Everton
Southampton v Arsenal
Stoke City v Man United
Swansea City v West Brom
Tottenham v Norwich City
Jumatatu, Desemba 28, 2015
Arsenal v AFC Bournemouth
Crystal Palace v Swansea City
Everton v Stoke City
Leicester City v Man City
Man United v Chelsea
Norwich City v Aston Villa
Sunderland v Liverpool
Watford v Tottenham
West Brom v Newcastle
West Ham v Southampton
Jumamosi, Januari 2, 2016
Arsenal v Newcastle
Crystal Palace v Chelsea
Everton v Tottenham
Leicester City v AFC Bournemouth
Man United v Swansea City
Norwich City v Southampton
Sunderland v Aston Villa
Watford v Man City
West Brom v Stoke City
West Ham v Liverpool
Jumanne, Januari 12, 2016
AFC Bournemouth v West Ham
Aston Villa v Crystal Palace
Liverpool v Arsenal
Swansea City v Sunderland
Jumatano, Januari 13, 2016
Chelsea v West Brom
Man City v Everton
Newcastle v Man United
Southampton v Watford
Stoke City v Norwich City
Tottenham v Leicester City
Jumamosi, Januari 16, 2016
AFC Bournemouth v Norwich City
Aston Villa v Leicester City
Chelsea v Everton
Liverpool v Man United
Man City v Crystal Palace
Newcastle v West Ham
Southampton v West Brom
Stoke City v Arsenal
Swansea City v Watford
Tottenham v Sunderland
Jumamosi, Januari 23, 2016
Arsenal v Chelsea
Crystal Palace v Tottenham
Everton v Swansea City
Leicester City v Stoke City
Man United v Southampton
Norwich City v Liverpool
Sunderland v AFC Bournemouth
Watford v Newcastle
West Brom v Aston Villa
West Ham v Man City
Jumanne, Februari 2, 2016
Arsenal v Southampton
Crystal Palace v AFC Bournemouth
Leicester City v Liverpool
Man United v Stoke City
Norwich City v Tottenham
Sunderland v Man City
Watford v Chelsea
West Brom v Swansea City
West Ham v Aston Villa
Jumatano, Februari 3, 2016
Everton v Newcastle
Jumamosi, Februari 6, 2016
AFC Bournemouth v Arsenal
Aston Villa v Norwich City
Chelsea v Man United
Liverpool v Sunderland
Man City v Leicester City
Newcastle v West Brom
Southampton v West Ham
Stoke City v Everton
Swansea City v Crystal Palace
Tottenham v Watford
Jumamosi, Februari 13, 2016
AFC Bournemouth v Stoke City
Arsenal v Leicester City
Aston Villa v Liverpool
Chelsea v Newcastle
Crystal Palace v Watford
Everton v West Brom
Manchester City v Tottenham
Norwich City v West Ham
Sunderland v Man United
Swansea City v Southampton
Jumamosi, Februari 27, 2016
Leicester City v Norwich City
Liverpool v Everton
Man United v Arsenal
Newcastle v Man City
Southampton v Chelsea
Stoke City v Aston Villa
Tottenham v Swansea City
Watford v AFC Bournemouth
West Brom v Crystal Palace
West Ham v Sunderland
Jumanne, Machi 1, 2016
AFC Bournemouth v Southampton
Arsenal v Swansea City
Aston Villa v Everton
Leicester City v West Brom
Liverpool v Man City
Man United v Watford
Norwich City v Chelsea
Sunderland v Crystal Palace
West Ham v Tottenham
Jumatano, Machi 2, 2016
Stoke City v Newcastle
Jumamosi, Machi 5, 2016
Chelsea v Stoke City
Crystal Palace v Liverpool
Everton v West Ham
Man City v Aston Villa
Newcastle v AFC Bournemouth
Southampton v Sunderland
Swansea City v Norwich City
Tottenham v Arsenal
Watford v Leicester City
West Brom v Man United
Jumamosi, Machi 12, 2016
AFC Bournemouth v Swansea City
Arsenal v West Brom
Aston Villa v Tottenham
Leicester City v Newcastle
Liverpool v Chelsea
Man United v Crystal Palace
Norwich City v Man City
Stoke City v Southampton
Sunderland v Everton
West Ham v Watford
Jumamosi, Machi 19, 2016
Chelsea v West Ham
Crystal Palace v Leicester City
Everton v Arsenal
Man City v Man United
Newcastle v Sunderland
Southampton v Liverpool
Swansea City v Aston Villa
Tottenham v AFC Bournemouth
Watford v Stoke City
West Brom v Norwich City
Jumamosi, Aprili 2, 2016
AFC Bournemouth v Man City
Arsenal v Watford
Aston Villa v Chelsea
Leicester City v Southampton
Liverpool v Tottenham
ManUnited v Everton
Norwich City v Newcastle
Stoke City v Swansea City
Sunderland v West Brom
West Ham v Crystal Palace
Jumamosi, Aprili 9, 2016
Aston Villa v AFC Bournemouth
Crystal Palace v Norwich City
Liverpool v Stoke City
Man City v West Brom
Southampton v Newcastle
Sunderland v Leicester City
Swansea City v Chelsea
Tottenham v Man United
Watford v Everton
West Ham v Arsenal
Jumamosi, Aprili 16, 2016
AFC Bournemouth v Liverpool
Arsenal v Crystal Palace
Chelsea v Man City
Everton v Southampton
Leicester City v West Ham
Man United v Aston Villa
Newcastle v Swansea City
Norwich City v Sunderland
Stoke City v Tottenham
West Brom v Watford
Jumamosi, Aprili 23, 2016
AFC Bournemouth v Chelsea
Aston Villa v Southampton
Crystal Palace v Everton
Leicester City v Swansea City
Liverpool v Newcastle United
Man City v Stoke City
Norwich City v Watford
Sunderland v Arsenal
Tottenham v West Brom
West Ham v Manch United
Jumamosi, Aprili 30, 2016
Arsenal v Norwich City
Chelsea v Tottenham
Everton v AFC Bournemouth
Man United v Leicester City
Newcastle v Crystal Palace
Southampton v Man City
Stoke City v Sunderland
Swansea City v Liverpool
Watford v Aston Villa
West Brom v West Ham
Jumamosi, Mei 7, 2016
AFC Bournemouth v West Brom
Aston Villa v Newcastle
Crystal Palace v Stoke City
Leicester City v Everton
Liverpool v Watford
Man City v Arsenal
Norwich City v Man United
Sunderland v Chelsea
Tottenham v Southampton
West Ham v Swansea City
Jumapili, Mei 15, 2016
Arsenal v Aston Villa
Chelsea v Leicester City
Everton v Norwich City
Man United v AFC Bournemouth
Newcastle v Tottenham
Southampton v Crystal Palace
Stoke City v West Ham
Swansea City v Man City
Watford v Sunderland
West Brom v Liverpool
Leicester City v Arsenal
Liverpool v Aston Villa
Man United v Sunderland
Newcastle v Chelsea
Southampton v Swansea City
Stoke City v AFC Bournemouth
Tottenham v Man City
Watford v Crystal Palace
West Brom v Everton
West Ham v Norwich City
Jumamosi, Oktoba 3, 2015
AFC Bournemouth v Watford
Arsenal v Man United
Aston Villa v Stoke City
Chelsea v Southampton
Crystal Palace v West Brom
Everton v Liverpool
Man City v Newcastle
Norwich City v Leicester City
Sunderland v West Ham
Swansea City v Tottenham
Jumamosi, Oktoba 17, 2015
Chelsea v Aston Villa
Crystal Palace v West Ham
Everton v Man United
Man City v AFC Bournemouth
Newcastle v Norwich City
Southampton v Leicester City
Swansea City v Stoke City
Tottenham v Liverpool
Watford v Arsenal
West Brom v Sunderland
Jumamosi, Oktoba 24, 2015
AFC Bournemouth v Tottenham
Arsenal v Everton
Aston Villa v Swansea City
Leicester City v Crystal Palace
Liverpool v Southampton
Man United v Man City
Norwich City v West Brom
Stoke City v Watford
Sunderland v Newcastle
West Ham v Chelsea
Jumamosi, Oktoba 31, 2015
Chelsea v Liverpool
Crystal Palace v Man United
Everton v Sunderland
Man City v Norwich City
Newcastle v Stoke City
Southampton v AFC Bournemouth
Swansea City v Arsenal
Tottenham v Aston Villa
Watford v West Ham
West Brom v Leicester City
Jumamosi, Novemba 7, 2015
AFC Bournemouth v Newcastle
Arsenal v Tottenham
Aston Villa v Man City
Leicester City v Watford
Liverpool v Crystal Palace
Man United v West Brom
Norwich City v Swansea City
Stoke City v Chelsea
Sunderland v Southampton
West Ham v Everton
Saturday, November 21st, 2015
Chelsea v Norwich City
Crystal Palace v Sunderland
Everton v Aston Villa
Man City v Liverpool
Newcastle v Leicester City
Southampton v Stoke City
Swansea City v AFC Bournemouth
Tottenham v West Ham
Watford v Man United
West Brom v Arsenal
Jumamosi, Novemba 28, 2015
AFC Bournemouth v Everton
Aston Villa v Watford
Crystal Palace v Newcastle
Leicester City v Man United
Liverpool v Swansea City
Man City v Southampton
Norwich City v Arsenal
Sunderland v Stoke City
Tottenham v Chelsea
West Ham v West Brom
Jumamosi, Desemba 5, 2015
Arsenal v Sunderland
Chelsea v AFC Bournemouth
Everton v Crystal Palace
Man United v West Ham
Newcastle v Liverpool
Southampton v Aston Villa
Stoke City v Man City
Swansea City v Leicester City
Watford v Norwich City
West Brom v Tottenham
Jumamosi, Desemba 12, 2015
AFC Bournemouth v Man United
Aston Villa v Arsenal
Crystal Palace v Southampton
Leicester City v Chelsea
Liverpool v West Brom
Man City v Swansea City
Norwich City v Everton
Sunderland v Watford
Tottenham v Newcastle
West Ham v Stoke City
Januari, Desemba 19, 2015
Arsenal v Man City
Chelsea v Sunderland
Everton v Leicester City
Man United v Norwich City
Newcastle v Aston Villa
Southampton v Tottenham
Stoke City v Crystal Palace
Swansea City v West Ham
Watford v Liverpool
West Brom v AFC Bournemouth
Jumamosi, Desemba 26, 2015
AFC Bournemouth v Crystal Palace
Aston Villa v West Ham
Chelsea v Watford
Liverpool v Leicester City
Man City v Sunderland
Newcastle v Everton
Southampton v Arsenal
Stoke City v Man United
Swansea City v West Brom
Tottenham v Norwich City
Jumatatu, Desemba 28, 2015
Arsenal v AFC Bournemouth
Crystal Palace v Swansea City
Everton v Stoke City
Leicester City v Man City
Man United v Chelsea
Norwich City v Aston Villa
Sunderland v Liverpool
Watford v Tottenham
West Brom v Newcastle
West Ham v Southampton
Jumamosi, Januari 2, 2016
Arsenal v Newcastle
Crystal Palace v Chelsea
Everton v Tottenham
Leicester City v AFC Bournemouth
Man United v Swansea City
Norwich City v Southampton
Sunderland v Aston Villa
Watford v Man City
West Brom v Stoke City
West Ham v Liverpool
Jumanne, Januari 12, 2016
AFC Bournemouth v West Ham
Aston Villa v Crystal Palace
Liverpool v Arsenal
Swansea City v Sunderland
Jumatano, Januari 13, 2016
Chelsea v West Brom
Man City v Everton
Newcastle v Man United
Southampton v Watford
Stoke City v Norwich City
Tottenham v Leicester City
Jumamosi, Januari 16, 2016
AFC Bournemouth v Norwich City
Aston Villa v Leicester City
Chelsea v Everton
Liverpool v Man United
Man City v Crystal Palace
Newcastle v West Ham
Southampton v West Brom
Stoke City v Arsenal
Swansea City v Watford
Tottenham v Sunderland
Jumamosi, Januari 23, 2016
Arsenal v Chelsea
Crystal Palace v Tottenham
Everton v Swansea City
Leicester City v Stoke City
Man United v Southampton
Norwich City v Liverpool
Sunderland v AFC Bournemouth
Watford v Newcastle
West Brom v Aston Villa
West Ham v Man City
Jumanne, Februari 2, 2016
Arsenal v Southampton
Crystal Palace v AFC Bournemouth
Leicester City v Liverpool
Man United v Stoke City
Norwich City v Tottenham
Sunderland v Man City
Watford v Chelsea
West Brom v Swansea City
West Ham v Aston Villa
Jumatano, Februari 3, 2016
Everton v Newcastle
Jumamosi, Februari 6, 2016
AFC Bournemouth v Arsenal
Aston Villa v Norwich City
Chelsea v Man United
Liverpool v Sunderland
Man City v Leicester City
Newcastle v West Brom
Southampton v West Ham
Stoke City v Everton
Swansea City v Crystal Palace
Tottenham v Watford
Jumamosi, Februari 13, 2016
AFC Bournemouth v Stoke City
Arsenal v Leicester City
Aston Villa v Liverpool
Chelsea v Newcastle
Crystal Palace v Watford
Everton v West Brom
Manchester City v Tottenham
Norwich City v West Ham
Sunderland v Man United
Swansea City v Southampton
Jumamosi, Februari 27, 2016
Leicester City v Norwich City
Liverpool v Everton
Man United v Arsenal
Newcastle v Man City
Southampton v Chelsea
Stoke City v Aston Villa
Tottenham v Swansea City
Watford v AFC Bournemouth
West Brom v Crystal Palace
West Ham v Sunderland
Jumanne, Machi 1, 2016
AFC Bournemouth v Southampton
Arsenal v Swansea City
Aston Villa v Everton
Leicester City v West Brom
Liverpool v Man City
Man United v Watford
Norwich City v Chelsea
Sunderland v Crystal Palace
West Ham v Tottenham
Jumatano, Machi 2, 2016
Stoke City v Newcastle
Jumamosi, Machi 5, 2016
Chelsea v Stoke City
Crystal Palace v Liverpool
Everton v West Ham
Man City v Aston Villa
Newcastle v AFC Bournemouth
Southampton v Sunderland
Swansea City v Norwich City
Tottenham v Arsenal
Watford v Leicester City
West Brom v Man United
Jumamosi, Machi 12, 2016
AFC Bournemouth v Swansea City
Arsenal v West Brom
Aston Villa v Tottenham
Leicester City v Newcastle
Liverpool v Chelsea
Man United v Crystal Palace
Norwich City v Man City
Stoke City v Southampton
Sunderland v Everton
West Ham v Watford
Jumamosi, Machi 19, 2016
Chelsea v West Ham
Crystal Palace v Leicester City
Everton v Arsenal
Man City v Man United
Newcastle v Sunderland
Southampton v Liverpool
Swansea City v Aston Villa
Tottenham v AFC Bournemouth
Watford v Stoke City
West Brom v Norwich City
Jumamosi, Aprili 2, 2016
AFC Bournemouth v Man City
Arsenal v Watford
Aston Villa v Chelsea
Leicester City v Southampton
Liverpool v Tottenham
ManUnited v Everton
Norwich City v Newcastle
Stoke City v Swansea City
Sunderland v West Brom
West Ham v Crystal Palace
Jumamosi, Aprili 9, 2016
Aston Villa v AFC Bournemouth
Crystal Palace v Norwich City
Liverpool v Stoke City
Man City v West Brom
Southampton v Newcastle
Sunderland v Leicester City
Swansea City v Chelsea
Tottenham v Man United
Watford v Everton
West Ham v Arsenal
Jumamosi, Aprili 16, 2016
AFC Bournemouth v Liverpool
Arsenal v Crystal Palace
Chelsea v Man City
Everton v Southampton
Leicester City v West Ham
Man United v Aston Villa
Newcastle v Swansea City
Norwich City v Sunderland
Stoke City v Tottenham
West Brom v Watford
Jumamosi, Aprili 23, 2016
AFC Bournemouth v Chelsea
Aston Villa v Southampton
Crystal Palace v Everton
Leicester City v Swansea City
Liverpool v Newcastle United
Man City v Stoke City
Norwich City v Watford
Sunderland v Arsenal
Tottenham v West Brom
West Ham v Manch United
Jumamosi, Aprili 30, 2016
Arsenal v Norwich City
Chelsea v Tottenham
Everton v AFC Bournemouth
Man United v Leicester City
Newcastle v Crystal Palace
Southampton v Man City
Stoke City v Sunderland
Swansea City v Liverpool
Watford v Aston Villa
West Brom v West Ham
Jumamosi, Mei 7, 2016
AFC Bournemouth v West Brom
Aston Villa v Newcastle
Crystal Palace v Stoke City
Leicester City v Everton
Liverpool v Watford
Man City v Arsenal
Norwich City v Man United
Sunderland v Chelsea
Tottenham v Southampton
West Ham v Swansea City
Jumapili, Mei 15, 2016
Arsenal v Aston Villa
Chelsea v Leicester City
Everton v Norwich City
Man United v AFC Bournemouth
Newcastle v Tottenham
Southampton v Crystal Palace
Stoke City v West Ham
Swansea City v Man City
Watford v Sunderland
West Brom v Liverpool
Subscribe to:
Posts (Atom)